Ufugaji Bora Wa Ng Ombe Wa Maziwa Pdf !!BETTER!! Download
DOWNLOAD ->>->>->> https://urluso.com/2t89lI
Halmashauri ina jumla ya ng`ombe 360 wa maziwa, lakini bado kuna fulsa ya uwekezaji katika ufugaji wan g`ombe hao katika kata ya Kalinzi, Mkigo,Nyarubanda, Simbo, Mahembe na Kidahwe. Kata hizo zina malisho ya kutosha na fulsa ya kupanda majani, kwa ajili ya malisho. Vilevile vyakula vya ziada vinapatikana ndani na nje ya Halmashauri.
Halmashauri ina fulsa kubwa ya kuwa na uwekezaji katika kusindika maziwa,katika kata za Mungonya kwani maziwa yaliyopo vijijini hayana soko na hasa baada ya wafugaji kuhamia katika Halmashauri hii katika kata za simbo, Kidahwe na Matendo. Na vilevile kuna maziwa yanayozalishwa kutoka kwenye ng`ombe wa kisasa kata za Mkigo, Nyarubanda na Kalinzi, mazawa hayo hayana soko. Jumla ya maziwa yanayozalishwa kwa siku moja na kukosa soko, ni zaidi ya lita 4,000 katika Halmashauri ya kigoma na lita zaidi ya 5,000 yanatoka nje ya Halmashauri ya Kigoma.
Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari. 2b1af7f3a8